Jinsi ya Kutambua Siku za hatari Kushika Mimba
Je wazifahamu siku za hatari kushika mimba? Ni siku gani unaweza kushika mimba baada ya hedhi kuisha? Mbegu za mwanaume zinaweza kuishi ndani ya kizazi kwa siku mpaka tano baada ya tendo zikiwa hai. Na mimba inaweza kufanyika endapo mbegu ipo kwenye kizazi au kwenye mirija ya uzazi wakati yai linatolewa. Yai kupevuka Kwa wanawake … Continue reading Jinsi ya Kutambua Siku za hatari Kushika Mimba
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed