Sindano za uzazi wa mpango-Depo

Depo- Provera au sindano ya depo ni jina la brand za sindano za uzazi wa mpango kuzuia mimba. Sindano inakuwa na homoni iliyotengenezwa maabara. Dawa ambayo inafanya kazi vizuri kuzuia mimba ndani ya miezi mitatu baada ya kuchoma. Sindano za Uzazi wa mpango-depo inavyofanya kazi Sindano ya depo inafanya kazi kwa kuzuia yai lisipevuke na … Continue reading Sindano za uzazi wa mpango-Depo