Je Kitanzi ni Njia Salama Kupanga Uzazi?

Kama wewe ni mwanamke unayetafuta njia gani salama ya kutumia upange uzazi wako, basi bilashaka umewaza kuhusu njia ya kitanzi. Kitanzi ni njia salama kwa wanawake wengi sana kwa sasa japo siyo wote. Wengi inawakaubali na haina madhara makubwa ukilinganisha na njia zingine kama njiti, vidonge na sindano. Kitanzi ni Nini Kitanzi ama intrauterine device … Continue reading Je Kitanzi ni Njia Salama Kupanga Uzazi?