Kipandikizi/njiti kuzuia mimba na kupanga uzazi

Kipandikizi au njiti ni njia mojawapo ya kisasa inayotumika kuzuia usishike mimba kabla hujapangilia. Vipandikizi kama ilivyo kwa sindano na vidoonge vinakuwa na kemikali za progestin ambazo zinabadili mpangilio wa homoni zako. Kipandikizi kinakuwa na mwonekano wa kipande kidogo cha plastic kama njiti ya kiberiti, na kinawekwa eneo a juu la mkojo wako chini ya … Continue reading Kipandikizi/njiti kuzuia mimba na kupanga uzazi