Kumeza P2, Maswali na Majibu

Nini Kinatokea P2 isipofanya kazi? P2 ni vidonge vya kumeza kwa dharula tu ili kuzuia mimba isiyotarajiwa endapo hukutumia kinga. Lakini unaweza kuwa unajiuliza je kuna uhakika gani kama p2 zinakusaidia kuzuia mimba? Uwezo wake ni asilimia ngapi? Na vipi kama haitafanya kazi nini kitatokea? Hapa chini kuna majibu ya maswali yako yote kuhusu p2 … Continue reading Kumeza P2, Maswali na Majibu