Vidonge vya uzazi wa mpango, faida na madhara

Maamuzi ya aina ya uzazi wa mpango unaotaka kutumia ni jambo binafsi. Japo muhudumu hospitalini atakupa elimu juu ya faida na hasara za kila njia, kazi yako ni kuchagua ipi itakufaa. Kama unafanya tendo la ndoa mara kwa mara, kuna umuhimu wa kutumia vidonge vya uzazi wa mpango ili usishike mimba isiyotarajiwa. Jinsi vidonge vya … Continue reading Vidonge vya uzazi wa mpango, faida na madhara