Ukweli ni kwamba uke ni makazi ya mabilioni ya bakteria wazuri na wale wabaya pia. Na harufu ya uke huwa inabadilika kila siku wakati mwingine kila saa harufu hubadilika. Mabadiliko haya ni kawaida kabisa kutokana na mabadiliko ya mzunguko, afya yako pamoja na usafi kwa ujumla. Zifuatazo ni aina za harufu ukeni na majibu kwa maswali yako je harufu husika ni mbaya au nzuri
1.Harufu ya Kuchacha(fermented)
Ni jambo la kawaida kabisa uke kuzalisha harufu ya kuchacha/sour aroma. Harufu hii yaweza kufanana na harufu ya kuchacha kwa chakula. Ukweli ni kwamba baadhi ya vyakula na vinywaji kama mtindi, bia na mkate vina bakteria wale wale ambao wapo kwenye uke wako.
Bakteria hawa wanaosababisha uchachu wanaitwa Lactobacilli. Lactobacilli wanafanya uke kuwa na tindikali nyingi, tindikali hii inalinda uke dhidi ya vimelea wabaya.
2.Harufu ya Kutu ama madini ya copper
Wanawake wengi huripoti kupata harufu kama ya kutu ukeni. Hii ni kawaida kabisa wala usiwe na hofu kwamba kuna tatizo. Kinachosababisha harufu hii ni
Damu: Damu ina madini chuma , wakati wa hedhi damu iliyozalishwa baada ya ukuta wa kizazi kumeguka husafiri na kutolewa nje kwa njia ya uke.
Tendo la ndoa:Bleed kidogo baada ya tendo la ndoa ni jambo inalotokea sana kwa wanawake wengi hawa wale wakavu ukeni. Au kama tendo lilifanyika kwa nguvu sana. Kuzuia hali hii jaribu kutumia vilainishi salama. Kama haupo kwenye hedhi na wala hujakutana na mwanaume na unahisi harufu hii basi panaweza kuwa na shida. Nenda hospitali mapema kama itatokea hivo.
3.Harufu nzuri
Kama harufu ya ukeni ni nzuri kama kitu chenye sukari basi usishtuke sana ni mabadiliko tu ya bakteria na ni jambo la kawaida.
4.Harufu ya kemikali kama chumba kipya.
Kuna sababu mbili kubwa zinazopelekea upate harufu hii kama
Mkojo: Mkojo una kemikali za ammonia. Unapovaa chupi kwa muda mrefu matone ya mkojo hujikusanya na kuzalisha harufu. Kama mkojo wako una harufu kali basi hakikisha unakunywa maji ya kutosha maana ni kiashiria kwamba umeishiwa maji.
Maambukizi ya bakteria: Sababu ya pili ni kwamba kuna shida ya maambukizi na unahitaji vipimo na tiba ya mapema. Endapo unapata dalili zingine kama muwasho ukeni, maumivu wakati wa kukojoa, harufu mbaya inayonuka na uchafu wa kijivu au kijani basi ujue una maambukizi ya bakteria.
5.Harufu ya majani yaliyochomwa mfano wa bangi
Sababu kubwa ni shuguli za mwili tunazofanya. Mwili una tezi mbili za jasho apocrine na eccrine. Wakati wa joto sana tezi hizi eccrine huzalisha zaidi jasho ili kupooza mwili.
Unapofanya kazi, apocrine huzalisha majimaji mepesi kama maziwa yanatolewa kwenye kwamba na maeneo ya ukeni. Majimaji haya yakikutana na bakteria wa ukeni ndipo harufu kali huzalishwa.
6.Harufu mbaya Kama Shombo la samaki
Harufu mbaya inayokufanya hata wewe ubane pua ujue siyo ya kawaida kabisa. Ukiona harufu ya shombo la samaki ujue kuna shida mahali na unahitaji kurekebisha haraka ili usiabike hata kwa mpenzi wako. Sababu kubwa ni maambukizi ya bakteria mfano mwagonjwa ya zinaa ama kutofanya usafi vizuri ukeni.
Lini Unapaswa Kumwona Daktari
Muone daktari mapema endapo harufu unayopata ukeni inaambatana na
- muwasho au kuchoma ukeni
- maumivu ya uke na maumivu kwenye tendo la ndoa
- kutokwa uchafu mzito mweupe
- kupata bleed wakati haupo kwenye hedhi
Vidonge Asili vya UCP-Vinasafisha uke na kurejesha harufu nzuri ukeni.
Uterus cleansing pills (UCP) ni dawa yenye vidonge 2 kama vinavyoonekana kwenye picha hapo juu, ambayo vinatumika kwa wiki moja kusafisha uke na kutibu maambukizi ukeni. Matumizi ya vidonge ni kwa kuweka kidonge ukeni na kutoa kila baada ya siku tatu, unapumzika masaa 24 unaweka kidonge kingine.
Vidonge vimetengenezwa kitaalamu kupitia muunganiko wa mimea na kuhifadhiwa vizuri ili kutunza uasili wa dawa pasipo kuwekwa kemikali.
UCP imetengenezwa kiasili ili kutatua changamoto mbalimbali za wanawake kama harufu mbaya ukeni, miwasho na maambukizi. Havifai kutumika kwa mjamzito na bikira.
angalizo
Kuna wimbi kubwa la wajasiliamali mitandaoni wanauza vidonge vyenye mfanano na hivi vya UCP, tena wanauza kwa bei rahisi sana. Watu hao siyo madaktari wala siyo wataalamu wa afya na wanauza bidhaa feki ambazo ni hatari wa afya yako. Wengi wao hawana hata ofisi, ukipata madhara unakosa pa kuuliza. Kuwa makini na watu hao, wamejaa sana insta na fb.