Uume mdogo ama Kibamia

uume mdogo au kibamia
kupima uume

Kwanini una kibamia? Unajuaje kama una uume mdogo kuliko kawaida?

Tafiti zinasema kwamba wanaume wengi wanatamani sana kuwa na maumbile makubwa ya uume. Na wanaume wengi wanaamini kwamba wana uume mdogo wakati ukweli na kwamba size waliyonayo ndio inayofaaa.

Makala hii itachambua kwa kina sayansi inayofanya uwe na uume mdogo na kuitwa kibamia pamoja na sababu zinazopelekea uwe na kibamia.

Size Gani ya Uume Ni Sahihi?

Urefu wa uume kikawaida unatakiwa kuwa inch 3.6 mpaka inch 5.3 pale uume ukiwa aumesimama.

Jinsi ya Kupima Uume wako

Kama ulikuwa unatafuta kwa muda mrefu namna gani sahihi ya kupima uume wako, hizi ndio hatua sahihi za kuchukua kufanya vipimo

  1. utahitaji kuwa na tape au rula kufanya kipimo
  2. uume ukiwa umesimama, anza kupima kwenye shina la uume kuelekea mbele.
  3. soma namba inayoonekana kwenye rula mwishoni mwa uume yani kwenye kichwa, hiyo ndio size ya uume wako

Ni kipindi Gani Uume Unakua Na Kuongezeka?

Tafiti zinasema kwamba uume unaongezeka kwa vipindi tofauti katika ukuaji wako. Kikawaida uume unakuwa haraka kuanzia unapozaliwa mpaka unapofikia umri wa mwaka mmoja. Baada ya hapo kuanzia umri wa mwaka mmoja mpaka miaka 11 ukuaji unapungua. Unapofikia umri wa kubalehe wa miaka 11 uume unaanza tena kukua kwa kasi.

Uume Mdogo Kupita Kiasi (micropenis)

Ni tatizo linalojitokeza kwa watoto wadogo wanapozaliwa kwa kuwa na size ndogo sana ya uume kuliko kawaida.Changamoto ya homoni inayoitwa hypogonadism ni chanzo kikubwa cha tatizo hili.

Sababu zingine zinazopelekea kuwa na uume mdogo ni pamoja na

  • Uuume kufunikwa na ngozi ama govi: Mwanaume atapata changamoto wakati wa tendo la ndoa na wakati wa kukojoa.
  • Ngozi ya mapumbu kuziba uume: Hii inatokea endapo ngozi ya korodani imejishikiza katika eneo kubwa na uume wako na hivo kuwa mfupi.
  • Kutopona haraka baada ya kutahiriwa: Mwanaume asipopona vizuri baada ya kutahiriwa anaweza kushindwa kukojoa vizuri endapo ngozi ya juu ya govi iliyokatwa haitapona haraka.

Je nifanye nini Kumridhisha Mpenzi Wangu Kitandani

Matatizo mengi haya yanatokea kwa wanaume wachache sana katika jamii zetu. Japo ni muhimu sana kufahamu kwamba size ya uume siyo kigezo cha kumridhisha mwanamke wako kimapenzi.

Kuna mambo mengi waweza kufanya ikiwemo romance na kumshikashika mpenzi wako maeneo mbalimbali ikiwezo matiti na kisimi ili kumuamsha kihisia na kumridhisha kingono. Pia waweza kumsugua kipele G/Gspot kwa kufuata hatua hizi hapa.

Ni muhimu ujue kwamba kama ilivo kwa uke, kula mwanaume anazaliwa na maumbile yake, kwahivo usijilinganishe na jirani yako mwenye mboo kubwa kupita yako nawe ukatamani.
Usitumie madawa yoyote ya kurefusha na kunenepesha uume kwani yana madhara makubwa ya muda mrefu, ikiwemo kushindwa kabisa kusimamisha uume.

Tumia tiba hii ya mimea kupitia vidonge vya zinc na vig power kurejesha nguvu za kiume

Ni tiba asili zilizotengenezwa wa mimea, zikawekwa kwenye mfumo wa vidonge na kuthibitishwa na mamlaka ili kutibu changamoto za kiume kama kuwahi kufika kileleni, uume kutosimama vizuri kwenye tendo, upungufu wa mbegu na shahawa nyepesi.

Huhitaji kujaribu dawa zisizo na uhakika. Tayari tumeshafanya utafiti wa kina na kujiridhisha kwamba dawa hizi mbili, zikitumika kwa pamoja zinaleta matokeo ndani ya mwezi mmoja.

Baada ya kutumia Vig power na zinc tegemea haya

  • Mbegu kuongezeka na kufikia kiwango cha zaidi ya milioni 50 kwa mililita
  • Uwezo wa kufanya tendo kuongezeka na utaweza kurudia mpaka mara tatu bila kuchoka
  • Hamu ya tendo kuimarisha na kukufanya ufurahie tendo la ndoa
  • Misuli ya uume kuimarisha na kukufanya uwe imara wakati wote wa tendo

Ghrama ni Tsh 150,000/= dozi ya mwezi mmoja.

unapatikana magomeni Dar, Chati na daktari kwa whatsapp no. 0678626254 kuanza tiba

Bofya Kusoma makala inayofuata: Madhara ya kufanya tendo kinyume na maumbile.