Tiba kwa afya ya mwanamke na uzazi

1.. Evecare

Evecare ni tiba asili kutoka india. Imetengenezwa kupitia mimea ya Asparagus, Ashoka, Malabar nut na Lodh tree kutibu changamoto za uzazi.

Faida na kazi za Evecare

 1. Kurekebisha homoni na hedhi iliyovurugika
 2. Kuchochea upevushaji wa mayai na kuongeza chansi ya kushika mimba haraka
 3. Kuongeza uzalishaji wa uteute wa mimba wakati wa ovulation.
 4. Kutibu maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi
 5. Inafaa pia kwa wanaotafuta mimba mda mrefu
 6. Haifai kutumika kwa mwenye fibroids

Gharama ya Evecare ni Tsh 75,000/=dozi ya siku 15.

2. Uterus cleansing pills (UCP)

Uterus cleansing pills (UCP) ni Dawa yenye vidonge 2 kama vinavyoonekana kwenye picha hapo juu, ambayo vinatumika kwa wiki moja. Matumizi ya vidonge ni kwa kuweka kidonge ukeni na kutoa kila baada ya siku tatu, unapumzika siku 2 unaweka kidonge kingine .

Vidonge vimetengenezwa kitaalamu kupitia muunganiko wa mimea na kuhifadhiwa vizuri ili kutunza uasili wa dawa pasipo kuwekwa kemkali.
UCP imetengenezwa kiasili ili kutatua changamoto mbalimbali za wanawake kama kuziba kwa mirija, uchafu ukeni ,miwasho na ugumba.

Makundi ya Wanawake wanaotakiwa Kutumia UCP ni pamoja na wanawake wenye

 • Maambukizi sugu kama PID na fangasi ukeni
 • Kuziba kwa mirija ya uzazi
 • Miwasho ukeni
 • Kutokwa na uchafu wenye harufu ukeni
 • Waliowahi kutoa mimba au kuharibikiwa na mimba ili kusafisha kizazi
 • Wenye za kizazi kutanuka na makovu kwenye kizazi

Ucp haitumiki kwa

 • Wanawake Bikra
 • Wanawake wajawazito na
 • Waliopo kwenye hedhi

Gharama za vidonge vya UCP ni sh 50,000/=.

3. M2-tone

M2-tone ni muunganiko wa mimea tiba ya kihindi aina 4, mimea hii ni pamoja na ashoka, shavatari, jatamanis, na lodhra. Ni dawa asili inayokuhakikishia kutibu matatizo yako ya uzazi.

Kazi na faida za M2-tone

 • Kurekebisha homoni
 • Kurejesha sawa mzunguko wa hedhi uliovurugika na kuongeza chansi ya kushika mimba
 • Kupunguza maumivu makali ya tumbo kwenye hedhi na
 • Kutibu vimbe kwenye mayai- PCOS
 • Yafaa kutumika kwa wenye historia ya kuugua vimbe

Gharama ya M2-tone ni Tsh 75,000/=dozi ya siku 15.

Ushauri Muhimu

Kama unatafuta mimba kwa muda mrefu bila mafanikio kutokana na changamoto za homoni, tunashauri utumie dawa zote tatu.

Wasiliana nasi kwa whatsapp no 0678626254/= Kuanza tiba

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *