Kitaalamu baada ya kumwaga mbegu, mwanaume huchukua dakika kadhaa bila kuwa na hamu ya kufanya tendo kabla ya uume kuamka tena na kuendelea. Kipini hichi huitwa refractory period .
Ni kipindi cha mapumziko baada ya kumwaga mbegu na muda wa uume kusimama tena na kuendelea na show. Kwa jina lingine pia kitaalamu huitwa resolution period.
Je wote mwanamke na mwanaume wanapitia muda wa mapumziko?
Jibu ni ndio, wote mwanaume na mwanamke wanapitia muda wa mapumziko baada ya kufika kileleni. Hapa chini ni hatua tano unazopitia tangia kuanza tendo mpaka kumaliza. Hii ni kwa wote mwanaume na mwanaume
- Excitement. Kipindi hichi ni pale unapokutana na mwenzi wako, hisia zinakuwa kali, mapigo ya moyo yanaenda mbio na misuli yako inajikaza zaidi. Damu inaanza kuzunguka kwa kasi kuelekea kwenye via ya uzazi.
- Plateau. Misuli inaendelea kujikaza, kwa mwanaume korodani zinapanda juu kidogo. Kwa mwanamke kisimi kitasimama zaidi na kukaza
- Orgasm. Misuli italegea kidogo na mwili wako utaishiwa nguvu kiasi. Kwa mwanaume misuli ya uume italegea pia na mbegu zitatoka.
- Resolution. Baada ya kumwaga mbegu na kwa mwanamke kutoa majimaji ya kufika kilele, misuli italegea zaidi na mapigo ya moyo yatapungua. Mzunguko wa damu pia unapungua kuelekea kwenye via vya uzazi hio kukufanya ukose hamu ya tendo kwa muda huo mpaka baadae.
Je ni muda gani sahihi mtu anatakiwa kupumzika kabla ya kuendelea tena na tendo
Hakuna muda maalumu ambao ni sahihi kwa kila mtu kurudi tena kwenye game. inatofautiana kwa kila mtu kulingana na afya yake, umri, hamu ya tendo na lishe pia.
Kwa wanawake inachukua sekunde chache tu kurudi kwenye mchezo tena. Kwa wanaume kuna tofauti sana, yaweza kuchukua dakika kadhaa , masaa au hata siku kwa uume kusimama tena na kuendelea na bao la pili.
Kadiri unavozeeka, ndivo utachukua masaa mengi zaidi kurudi kwenye mchezo. Usishangae kuchukue hata week nzima kurudi tena hamu ya tendo baada ya kufika kileleni ukiwa na umri mkubwa.
Je kuna tofauti endapo mtu amepiga punyeto?
Tafiti zinasema kwamba muda wa kurejea kwa hisia baada ya kufika kileleni(refractory period) unatofautiana kwa yule aliyepiga punyeto na yule aliofanya tendo lenyewe.
Kiwango cha homoni ya prolacin ambacho ndicho kinahusika kwenye kuamua urefu wa refractory period, kinakuwa kingi zaidi kwa mtu aliyefanya tendo lenyewe kuliko kwa mpiga punyeto.
Kwa mantiki hiyo, ukipiga punyeto utawahi mapema kurudi kwenye hisia zako, kuliko aliyefanya ngono kamili.
Je naweza kufanya jambo ili niwahi kurudi mchezoni?
Jibu ni ndio, inawezekana kabisa kupunguza muda wa mapumziko baada ya bao la kwanza, ukawahi kupata hisia tena na ukaendelea na tendo. Kuna sababu kubwa tatu ambazo zinaathiri muda wa mapumziko. Sababu hizi ni msisimko, tendo lenyewe na afya yako.
Kuimarisha msisimko baada ya tendo la kwanza fanya haya
- Sitisha kupiga punyeto. Kama unachukua mda mrefu sana kurudia tendo, kupiga punyeto inaweza kukuathiri zaidi.
- Punguza siku za kufanya ngono. Kama ulikuwa unafanya kila siku, jaribu kuweka kila baada ya siku nne ama week moja ndipo ukutane na mpenzi wako. Mabadiliko ya ratiba ya sex yanaweza kuleta matokeo chanya.
- Jaribu style mpya ya kufanya tendo. Kila mkao wa tendo unaleta msisimko wa tofauti. Mfano unaweza kuchelewesha bao lako ikiwa mwanamke yupo juu yako kuliko wewe ukiwa juu yake. Mikao mingine kama dogie style inaleta msisimko zaidi na kukufanya umwage mapema.
- Kwa mwanmke: Baada ya tendo mwambie mpenzi wako akushike sehemu mbalimbali za mwili zenye msisimko mkali kimahaba, mfano anaweza kukushika masikio, korodani kukunyonya lips, shingo na chuchu pia. Hii itakusaidia kusimamisha tena uume na kuendelea na bao la pili mapema.
- Usikamie sana wakati wa tendo. Chukulia tendo kama mchezo wa kuigiza, na wewe na mwenzi wako ndio waigizaji. Hii itakufanya usiwe na mhemko sana na ukaweza kulimudu tendo.
Kuimarisha uwezo wa tendo la ndoa fanya haya
- Jaribu mazoezi ya kegel.Zoezi hili litakusaidia kuimarisha misuli ya nyonga na hivo uwezio kumudu tendo kwa muda mrefu. Jinsi ya kufanya kegel ni pale unapoenda haja ndogo, usitoe mkojo wote kwa mara moja, toa kidogo bana mkojo kwa sekunde 4 kisha achia tena, rudia mara tatu.
- Epuka matumizi ya pombe na sigara na upunguze vyakula ya sukari.
- Weka ratiba ya kufanya mazoezi mengine ya viungo kama kukimbia, walau mara 4 kwa week.
- Hakikisha unakula mlo kamili wenye irutubishi vyote kuanzia protini, vitamini na madini
Hitimisho
Ni muhimu sana kukumbuka kwamba kila mmoja ana uwezo wake tofauti wa kurudia tendo baada ya bao la kwanza. Unaweza kusikia wengine wakikwambia wanaunganisha mabao, uusipate mawazo ukafikiri wewe haupo sawa.
Ni sababu nyingi zinafanya zinepelekea kutofautiana ikiwemo hali ya kiafya, umri, lishe na namna gani unashugulisha mwili wako.
Kama una changamoto ya kushindwa kurudia tendo usiache kusoma makala yetu hapa chini. Utajifunza namna tatizo linavoanza, ushauri na tiba pia ya kudumu.
Jaribu tiba yetu Asili
Tiba hii ni muunganiko wa dawa mbili yani zinc na confido, dawa zilizotengenezwa kwa mimea tiba, matunda na mbegu.
Kazi na faida ya dawa zetu
- kuongeza hamu ya tendo na uwezo wa kurudia haraka
- kuimarisha misuli ya uume ili uweze kumudu tendo kwa mda mrefu
- kuongeza uzalishaji wa mbegu na
- Kukufanya uwe mchangamfu hata baada ya kumaliza tendo