Bilashaka umewahi kusikia neno katerero linalotumika sana na wahaya, likimaanisha kumchapa mwanamke na mboo mpaka akojoe maji mengi wakati wa tendo au maandalizi. Makala yetu ya leo itaongelea kwa kina tendo la mwanamke kukojoa kwenye tendo na mbinu za kufanya.
je ni kweli yawezekana kumkojoza mwanamke kwenye tendo?
Unaweza kushangaa kwamba ni kweli wanawake pia wanakojoa wanapofika kileleni? Soma kwa kina makala hii kujua namna wanawake wanamwaga maji na maswali yako yote kuhusu mwanamke kufika kileleni na kupiz maji mengi.
Nini maana ya kumkojoza Mwanamke Kwenye tendo (squirting)
Squirting au female ejaculation ni kitendo cha mwanamke kumwaga maji yenye rangi nyeupe yasiyo na harufu. Mwanamke anaweza kukojoa maji haya wakati wa maandalizi ya tendo au hata anapofika kileleni. Wanasayasi wanaamini kwamba maji haya yanaanzia kwenye kibofu cha mkojo na kuchanganyika na maji ya kwenye tezi za uke.
Je ni kawaida mwanamke kukojoa maji mengi wakati wa tendo?
Mwanamke kupiz ni kawaida kabisa wala siyo jambo baya kama wachache wanavofikiri.Wataalamu wa mahusiano na tendo la ndoa wanaamini kwamba kila mwanamke anaweza kumwaga maji akiandaliwa na kukunwa vizuri.
Je mwanamke kupiz kwenye tendo ni sawa na mkojo?
Watu wengi hufikiri kwamba mwanamke anapofika kilele na akakojoa, basi ule ni mkojo hutoka kwenye kibofu. Mwanamke kukojoa kwenye tendo siyo mkojo, ni maji maji yasiyo na harufu yanayotoka kwenye tezi za uke.
Japo inatokea mara chache sana mkojo ukaponyoka nyakati za tendo la ndoa. Baadhi ya wanawake wanaweza kumwaga maji na wakati huo wanakojoa pia mkojo wa kawaida.
Endapo unahisi kama hali ya kukojoa unapofika kileleni ni kawaida. Kwasababu hisia za mapenzi zinafanya damu iwe nyingi kwenye tishu eneo la karibu na mrija wa mkojo. Tishu hizi zikijaa damu zinajikaza na kusukuma kibofu cha mkojo.
Nini kifanyike ili kumkojoza mwanamke maji mengi kwenye tendo?
Pengine wewe mwanamke hujawahi kukojoa, ama mwanaume unahitaji kumkojoza mkeo. Kama unataka kuongeza chansi yako ya kumwaga maji, hakikisha unasugua zaidi kipele G ama G spot.
G-spot ni eneo lililopo ndani ya uke umbali wa cm 5 mpaka 7 kutoka kwneye mlango wa uke. Kuipata G spot, mwanamke alale chali kisha ingiza kidole kirefu taratibu na kikunje kuelekea juu. G spot ina mwonekano kama sponge, wakati unaikuna utahisi kama godoro hivi lenye maji.
Jinsi ya kusugua G-spot
Baada ya kuingiza kidonge anza kukuna eneo hilo kuelekea juu, taratibu mpaka mwanamke amwage maji. Kama mwanamke yupo kwenye mkao wa mbuzi kagoma ama dogy style, G spot itakuwa kwa chini. Maana yake utakuna kuelekea chini.
Kama unataka kupima ni kiwango gani cha maji maji huwa kinatoka, basi chukua taulo weka kwa chini kabla hujanza hili zoezi. Na hakikisha unakojoa na kutoa mkojo wote kabla ya kuanza kujikuna au kukunwa.
Unaweza kujikuna mwenyewe kwa njia ya punyeto, ama ukamwambia mwanaume akukune ili umwage maji.
Makosa usiyotakiwa kufanya wakati wa tendo la Ndoa
Wanaume wengi hufanya makosa makubwa wakati wa maandalizi na wakati wa tendo. Makosa haya yanamchelewessha wamanamke kufika kileleni na akashindwa kukojoa. Usifanye makosa haya ili umridhishe mwanamke na aweze kukojoa maji mengi. Makosa haya ni pamoja na
- Kumparamia mwanamke pasipo kumuandaa vya kutosha
- Kumla mwanamke kwenye mazingira ya kelele
- Kufikiri kila mwanamke anasisimka kwa kunyonya sehemu zile zile ambazo umekariri. Kila mwanamke ana sehemu zake za kusisimka, ongea nae akwambie ili usipoteze muda pasipohusika
- Kutumia mate kulainisha uke: hii ni hatari kwani anaweza kupata maambukizi ya fungus na bakteria kwenye uke
- Kufikiri unaweza kumkomoa mwanamke kwa kupiga mabao mengi: hiyo ni hatari kwani unajiumiza mwenyewe, inashauriwa bao mbili tu zinatosha kwa siku.
Nini kifanyike endapo mwanamke hakojoi kabisa hata kwa mbinu zote?
Siyo kila mwanamke atakojoa kwa mbinu hii. Kuna makundi machache ya wanawake wenye changamoto ya ukavu ukeni, changamoto ya kukosa hamu ya tendo, uke mkavu, wanautumia uzazi wa mpango wa kisasa na wenye kuvurugikiwa na homoni. Makundi haya ni ngumu sana kufika kileleni, wala kukojoa kwenye tendo. Haya ni makundi special na yanahitaji tiba kwanza ili kuanza kufurahia tendo.
Maelezo ya mwisho Kumkojoza Mwanamke kwenye tendo
Bilashaka umejifunza kuhusu kupiz au kwamwaga kwa mwanamke na umejibiwa maswali yako.
Kama umejaribu njia hizi na bado humwagi maji, yawezekana una tatizo la homoni kuvurugika. Muhimu sana usome hizi makala zote ili tukupatie tiba sahihi uanze kufika kilele na kukojoa kwenye tendo.