Siku ya Kwanza Kufanya Tendo la Ndoa

tendo
wawili wakifurahia tendo

Siku ya kwanza kufanya tendo lazima uwe na hofu na kuogopa kuliko siku zingine kwasababu unaenda kukutana na jambo ambao hujawhao kabisa kulifanya maisha yako. Makala hii ina maelezo nii cha kufanya siku ya kwanza ili uweze kufurahia tendo la ndoa.

Nini maana ya Tendo la Ndoa?

Tendo la ndoa au sex ni kitendo cha muunganiko wa kuhisia za kimapenzi kati ya watu wawili mwanamke na mwanaume, muunganiko unaohusisha kugusana kwa viungo vya mwili.

Lengo la tendo la ndoa ni kupata msisimko wa kimapenzi na kufikia mshindo ama kilele.

Maandalizi kabla kwenye siku ya kwanza kufanya tendo

Hizi ni shuguli za hapa na pale zinazofanyika kati na mwanamke na mwanaume ili kuhamasishana kabla ya kuingia kwenye tendo lenyewe. Hii inahusisha kutomasana, kunyonyana ndimi na pia kuambiana meneno ya huba wakati mnakaribia tendo la ndoa.

Je kuna maumivu siku ya kwanza kufanya tendo?

Kwa mwanamke tendo siku ya kwanza inavunja ukuta mwembamba wa uke unaoitwa hymen. Ukuta huu unatofautiana kwa unene na size kwa kila mwanamke. Ukuta unapokuwa mrefu na mwembemba ndipo maumivu yatakuwa madogo zaidi. Ikiwa ukuta wako ni mnene sana, waweza kupata maumivu zaidi siku ya kwanza.

Je ukubwa wa uume unapelekea maumivu kwa mwanamke?

Usijali kwamba ukubwa wa uume unaweza kukuumiza hapana. Uke umejengwa kwa kwa misuli laini, ambayo inavutika na kuruhusu kitu chenye size kubwa kupenya. Fikiria ukubwa wa mtoto na bado anapenya na kuzaliwa vizuri kabisa.

Siku ya kwanza kufanya tendo: Jinsi ya kushiriki bila maumivu makali

Hakuna njia moja ya kuondoa maumivu asilimia 100 siku ya kwanza unapofanya tendo, ila kuna vitu vichache vya kufanya kupunguza maumivu. Ukiwa na mpenzi asiye na haraka ya kuingiza uume, na pia awe mwelewa itakusaidia sana kufurahia tendo na kupunguza maumivu siku ya kwanza. Kuna mambo mengine mengi waweza kufanya yakakusaidia, endelea kuyasoma hapa chini

1.Ongea na mpenzi wako kabla ya tendo

Usiogope kuongea na mtu wako namna unavojiskia, vitu unavyoogopa na usichokipenda. Una kila haki ya kujieleza kwa uwazi ili akuvumilie. Kuongea na mwenzio kunasaidia kupunguza ile hofu ulokuwa nayo kuhusu kufanya mapenzi.

2.Fanya maandalizi ya kutosha

Hakika uke unaloa vizuri na kuwa mlaini sana kabla ya kuingiliwa na mwenzako, hii inapunguza sana maumivu. Maandalizi haya ni pamoja na michezo kadhaa mkiwa uchi, kushikana sehemu za siri, kunyonyana uke na uume, na ndimi na kuambiana maneno matamu.

Chukueni walau nusu saa mpaka lisaa la maandalizi kabla ya tendo, msiende haraka.

3.Jaribu mikao na style tofauti za kufanya tendo

Ikiwa unapata maumivu kwenye aina moja ya style ya kufanya tendo jaribu kubadili na utumie style zingine. Hizi ni baadhi ya style za kufanya tendo.

  • Tumia mto chini ya mgongo na kukufanya ubinuke kidogo. Kunja magoti kisha chanua miguu yako ili uke ubaki wazi.
  • Mwanamke kushika ukuta, na kubinuka kidogo kisha mwanamume anakunja kwa nyuma na kumuingilia ukeni
  • Style ya kifo cha mende: hii ni nzuri kwa kuanzia, karibu kila mwanafunzi wa mapenzi anaanzia hapa. Ukizoea hii style ya mwanamke kulala chini na mwanaume kuja kwa juu ndipo uanze kujaribu style zingine

4.Usijiwekee matarajio makubwa kivile

Kutokana na kukua kwa teknoligia, lazima utakuwa umeshatazama picha na vide za ngono namna watu wanavoingiza kwenye movie chafu za ngono. Na kwenye akili yako umeweka matazamio flani, kwamba unachokiona ndicho kitatokea utakapioanza mapenzi, hii siyo kweli.

Wanaoigiza na kurekodi video za ngono wanatumia madawa kuamsha hisia zao na ni wazoefu sana kufanya tendo. Usijilinganishe nao. Kuwa mpole na jipe muda, huwezi kuwa mzoefu kwa siku moja. Siku ya kwanza unaweza kushindwa kabisa kufanya tendo na baadae ukaweza. Hivo tuliza mihemko na ufanye taratibu.

Pia jua kwamba unaweza usifike kileleni siku ya kwanza kutolewa bikira. Kutokana na maumivu madogo na kukosa uzoefu. Lakini siku zijazo utafika kileleni na kukojoa vizuri.

5. Hakikisha Eneo la kufanya tendo ni tulivu

Siku yako ya kwanza kufanya tendo inatakiwa kufanyika mahali pazuri pasio na kelele wala vitu hatari.Yatakiwa iwe sehemu ambapo wote wawili mke na mme mnatulia kiakili. Siyo kwenu vichaka au kwenye gari.

Kitanda ni sehemu nzuri zaidi ya kufanya tendo siku ya kwanza. Fanya usafi kwenye chgumba chako na kuondoa kelele zozote, hakikisha hakuna watu wengi eneo hilo na uzime simu. Unaweza kufungulia redio kwa mbali ili upate mziki wa kukusindikiza.

Je maumivu yatajirudia tena baada ya siku ya kwanza kutolewa bikira?

Kam umepata maumivu siku ya kwanza kutoa bikira, maumivu haya yatapungua sana siku ya pili, ama kuisha kabisa. Unaweza pia kutumia vidole vyako kutanua ukuta unaoziba uke endapo bado unapata maumivu. Ikiwa umejaribu mara nyingi na bado unapata maumivu na kutokwa na damu, uende hospital uonane na daktari akucheki.

Changmoto zingine zinazopelekea Usifurahie Tendo

  • Fungus ukeni: kama unapata muwasho na uchafu mweupe kama mtindi
  • kama unapata ukavu kwenye uke hata baada ya kuandaliwa, jaribu kutumia vilainishi vya pharmacy
  • ikiwa umeona kuna kuvimba au muwaho baada ya kutumia pedi basi waweza kuwa na aleji
  • ikiwa unahisi uliwahi kuumizwa kimapenzi, msongo wa mawazo na kunyanywaswa kimapenzi, hapo itabidi umuone mtaalamu wa saikolojia kwanza akushauri

Tadhari za kuchukua siku ya kwanza kufanya tendo

Unapotoa bikira yako hakikisha unaweka akili mambo haya. Yatakusaidia usijutie kufanya jambo hilo na kujilaumu sana. Mambo ya kufahamu ni pamoja na

  1. Tambua kwamba waweza kushika mimba siku ya kwanza kutolewa bikira, mnaweza kutumia kinga ama kusubiri siku za hatari zipite
  2. Unaweza kuambukizwa magonjwa ya zinaa kama ukimwi, kaswende na kisonono endapo mpenzi wako hayuko salama. Hakikisha mnapima kwanza afya zenu kabla ya kukutana
  3. Kunyonya sehemu za siri za mpenzi wako yaweza kukupelekea ukapata fungus na magonjwa mengine ya zina. Hakikisha yupo salama

Bofya kusoma Jinsi ya Kumkojoza Mwanamke akamwaga maji