Chanzo cha kuwahi kufika kileleni

kuwahi kufika kileleni
tendo

Nini maana ya kuwahi kufika kileleni?

Kufika kileleni kwa mwanaume ni kitendo cha kumwaga mbegu kutoka kwenye uume wakati wa kufikia mshindo. Kuwahi kufika kileleni ni pale mbegu zinapotoka mapema zaidi kuliko wewe na mwenzi wako mlivyotarajia.

Pengine wakati wa kumuandaa mwanamke au umeingiza uume sekunde chache tu umemwaga mbegu. Kitaalamu tatizo huitwa premature ejaculation(PE)

Kuwahi kufika kileleni ni tatizo kubwa mno kwa sasa. Ninapokea simu zaidi ya 30 kila siku za wahanga wakihitaji tiba zetu asili kwa tatizo hili. Na inakadiriwa kwamba kati ya wanaume watatu, mmoja ana tatizo la kuwahi kufika kileleni.

Kuwahi kufika kileleni na uume kutosimama imara

Matatizo haya mawili hayafanani, lakini yote tunayaweka katika kundi moja la sexual dysfunction. Sexual dysfunction tunamaanisha sababu zozote zile zinazowakwamisha wapenzi kufurahia tendo la ndoa. Sababu hizi yaweza kuwa kuwahi kufika kileleni, kukosa hamu ya tendo na uume kutosimama vizuri.

Ni zipi dalili za kuwahi kufika kileleni?

Kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni katika kipindi fulani ni kawaida. Karibu kila mwanaume ameshakutana na hali hii katika mazingira fulani ya tendo la ndoa. Tatizo linakuja pale changamoto inapojirudia kila siku.

Dalili kubwa ya kuwahi kufika kileleni ni kumwaga mbegu mapema. Yaani kushindwa kujizuia mbegu wakati wa kumuandaa mwanamke na dakika chache tu baada ya kuiingiza uume.

Tatizo la kuwahi kufika kileleni tunaweza kuligawanya katika makundi mawili. Primary PE; ikimanisha tatizo unalo siku zote tangu ulipoanza kufanya ngono na secondary PE: yani tatizo umelipata ukubwani, halikwepo hapo mwanzo.

Nini kinasababisha kuwahi kufika kileleni?

Kuna sababu nyingi ikiwemo za kisaiokolojia na za kihisia zinazokufanya uwahi kumwaga mbegu na kushindwa kumridhisha mpenzi wako.

Baadhi ya matatizo ya kisaikolojia ni ya muda mfupi. Mfano inawezekana ulishapata tatizo la kuwahi kufika kileleni, lakini kadiri umri unavoenda na kufanya zaidi tendo, unapata uzoefu na tatizo linaisha. Lakini pia kwa upande mwingine tatizo la kuwahi kufanya kileleni linatokana na kuongezeka kwa umri, kutokana na uzee.

Sababu za kisaikolojia

Kuwahi kufika kileleni kunaweza kuchangiwa na changamoto za kiafya ikiwemo matatizo ya kisaikolojia kama

  • kujiona huna thamani (low self esteem)
  • msongo mawazo kupitiliza
  • historia ya kunyanyaswa kingono mfano ulazimishwa tendo bila hiyari.
  • kujihisi mkosaji inaweza kukufanya uwahi kumaliza tendo

Vitu vingine vinavyochangia uwahi kufika kileleni ni pamoja na

  • hofu ya kushindwa kumridhisha mpenzi wako
  • wasiwasi wa kutokuwa mzoefu wa kimapenzi kuliko mpenzi wako (pengine unahisi atakucheka na kukudharau)
  • changamoto za kutoridhika kimapenzi kwenye uhusiano wako uliopita

Sababu za kimwili zinazopelekea kuwahi kufika kileleni

Changamoto zingine za kimwili zinaweza kuchangia kuwahi kufika kileleni. Mfano kama una tatizo la uume kutosimama vizuri inaweza kukufanya uwahi kumwaga kabla uume haujalegea.

Kuzidi kwa baadhi ya homoni kama testosterone na baadhi ya kemikali(neurotransmitters) zinazozalishwa kwenye neva huchangia kuwahi kumwaga mbegu. Kuvimba kwa tezi dume au njia ya mkojo inaweza kupeleka dalili mbaya ikiwemo uume kulegea na kuwahi kumwaga mbegu.

Lini unatakiwa kumwona daktari

Nenda hospitali uonane na daktari kama tatizo lako

  • Limejirudia mara nyingi zaidi na hata kutishia mahusiano yako
  • Linakufanya ujitafakari zaidi na kutafuta tiba
  • Tatizo linakufanya usifurahie kabisa tendo na kuogopa kukutana na mwanamke.

Unaweza kuanza kumwona daktari wa kawaida. Baada ya hapo kama hutapata msaada muone daktari bingwa wa magonjwa ya njia ya mkojo na uzazi kwa mwanaume (urologist)

Wakati unamwona daktari andaa taarifa za maswali haya

  • kwa muda gani umekuwa ukifanya ngono?
  • lini ulipojigundua kwamba una tatizo?
  • ni mara ngapi tatizo linajitokeza?
  • inachukua muda gani kufika kileleni baada ya kuanza tendo?
  • je unatumia dawa zozote ambazo zinaathiri uwezo wa tendo?

Tiba ya kuwahi kufika kileleni

Kwa kiasi fulani unaweza kutibu tatizo kwa kurekebisha mtindo wa maisha na vyakula. Baadhi ya wanaume wanasolve tatizo kwa kupiga punyeto goli la kwanza kabla ya kuanza tendo.

Pia unaweza kujaribu michezo mingine ya kimahaba kwa nusu saa kabla ya kumuingilia mwanamke. Hii itapunguza ule muhemko na presha ya tendo.

Hatua 4 za kutibu kuwahi kufika kileleni

1.Start and stop and squeeze methods

Njia hii inafanyika kwa kuingiza uume taratibu ukeni na kupump kwa sekunde chache kisha unatulia kwa dakika mbili mpaka uume ukaribie kulegea. Kisha endelea tena kufanya tendo. Rudia hili zoezi mmpaka ujione umezoea mazingira ya ndani ya uke.

Njia ya pili ya squeeze ni kwamba mpenzi wako anaamsha hisia mpaka uume unasimama imara, kisha anafanya kama kuukamua mpaka ulegee. Hii itakusaidia kuzoea msisimko wa kimapenzi kabla hujafika kileleni, ili ujizuie kumwaga mapema. Kumbuka inachukua wiki kadhaa kujizoesha mpaka kufaulu.

2.Mazoezi ya nyonga

Baadhi ya mazoezi ya nyonga yanaweza kukusaidia. Mfano wa mazoezi hayo ni kegel exercise.

Muda mzuri wa kufanya zoezi hili ni pale unapoenda haja ndogo. Wakati wa kukojoa ndipo unaweza kutumia misuli inayotakiwa. Kama utafanikiwa kubana misuli sahihi wakati unakojoa na ukagundua mabadiliko kwenye speed ya mkojo basi hapo umepatia zoezi.

Wakati unakojoa bana misuli ya ndani ya uke ili kuzuia mkojo usitoke. Bana mkojoa wa sekunde 10 kisha uachie kwa sekunde kadhaa bana tena.Usibane mkojo wa kutuma mknono, tumia misuli ya ndani ya uume. Mwanzo utakuwa mgumu lakini usikate tamaa endelea kufanya mpaka upatie zoezi. Usifanye kila muda unapoenda kukojoa ila jitahidi ufanye mara 4 kwa siku.

Kama ilivo kwa mazoezi mengine, unavofanya zaidi kila siku unapata uzoefu na ndivyo utakavyopatia zaidi.

3.Kupunguza msisimko wa kimapenzi

Kupunguza msisimko wa kingono inaweza kukusaidia kuchukua muda mrefu bila kumwaga mbegu.

Kuvaa kondomu wakati wa tendo kunapunguza msisimko na ukaweza kwenda dakika nyingi bila kufika mshindo.

Unaweza pia kujaribu baadhi ya gel za kupaka kwenye kichwa cha uume ili kupunguza msisimko wa kimapenzi. Hakikisha tu umejiridhisha na ubora na usalama wa bidhaa kabla ya kuitumia.

4.Dawa na virutubisho

Kama tatizo litagoma kuisha kwa kufauata ushauri hapo juu, anza kufikiria kutuma dawa na virutubisho mbali mbali kurejesha nguvu za kiume. Dawa za famasi kama viagra zinaweza kukupa matokeo ya haraka, japo siyo dawa salama kutumia kila mara.

Unaweza kuwatembelea green world health products wana virutubisho salama na asili kuimarisha afya ya kiume kwa kubofya hapa.

Pendelea pia kula vyakula vyenye madini ya zinc kwa wingi kama karanga, korosho na mbegu za maboga zitakusaidia.

Zungumza na mwezi wako

Kama unapata tatizo la kuwahi kufika kileleni mara kwa mara ongea na mpenzi wako, mweleze tatizo hili. Kuliko kulipuuza na kusingizia stress za ofsini na kazi nyingi. Kuwa mpole na muongee kwa kina juu ya tatizo.

Wote wa pamoja mnatakiwa kufahamu kwamba

  • tatizo linatibika
  • changamoto inawatokea wanaume wengi
  • tiba ya tatizo litayajenga zaidi mahusiano yenu
  • tiba inaanzia kwenye kujua na kushugulika na chanzo cha tatizo kwanza.

Tumia tiba hii ya mimea kupitia vidonge vya zinc na vig power kuimarisha nguvu za kiume na kuongeza mbegu

Ni tiba asili zilizotengenezwa wa mimea, zikawekwa kwenye mfumo wa vidonge na kuthibitishwa na mamlaka ili kutibu changamoto za kiume kama

  • kuwahi kufika kileleni
  • uume kutosimama vizuri kwenye tendo
  • upungufu wa mbegu na
  • shahawa nyepesi.

Huhitaji kujaribu dawa zisizo na uhakika, tayari tumeshafanya utafiti wa kina na kujiridhisha kwamba dawa hizi mbili, zikitumika kwa pamoja zinaleta matokeo ndani ya mwezi mmoja.

Baada ya kutumia Vig power na zinc tegemea haya

  1. Uwezo wa kufanya tendo kuongezeka na utaweza kurudia mpaka mara tatu bila kuchoka
  2. Kwenda zaidi ya dakika 25 kwa bao moja
  3. Mbegu kuongezeka na kufikia kiwango cha zaidi ya milioni 50 kwa mililita ambazo zinatosha kutungisha mimba
  4. Hamu ya tendo kuimarika na kukufanya ufurahie tendo la ndoa
  5. Misuli ya uume kuimarisha na kukufanya uwe imara wakati wote wa tendo

Gharama ni Tsh 150,000/= dozi ya mwezi mmoja.

Ushuhuda wa mgonjwa baada ya kutumia dawa hizi.

ushuhuda

Bilashaka na wewe unapenda kurudisha heshima kwenye mahusiano yako kama huyu mteja wetu hapo juu. Ukamkuna vizuri mke/mpenzi wako na kumridhisha, nawe ukaridhika. Usiache kututafuta

Tunapatikana mwembechai Dar, Chati na daktari kwa whatsapp no. 0678626254 kuanza tiba

Bofya kusoma kuhusu shahawa nyepesi

2 replies on “Chanzo cha kuwahi kufika kileleni”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *