
Japo kufika kileleni kwa wakati mmoja, kwa wote mwanamke na mwanaume ni ngumu lakini bado inawezekana kwa kuzingatia mbinu chache.
Kiujumla wanawake wanachukua mda mefu zaidi kufika kileleni kuliko wanaume, inaweza kuzudi hata dakika 15.
Kwanini wanawake wengi hawafiki kileleni??
Takwimu zinasema katika wanawake watatu basi mmoja wapo ni ngumu sana kumfikisha kileleni. Hii ni kwa sababu wanawake wanahitaji kusisimuliwa kwenye kisimi ili kumwaga. Na kisimi kipo eneo la juu ya uke, na wakati wa sex ni ngumu kwa mwanaume kusugua kisimi kwa uume.
Sababu ingine kwanini wanawake wanashindwa kufika kileleni ni sababu wanatakiwa kujua nini kinawafanya wasisimke na kufika kileleni. Unatakiwa kujua jinsi gani mwili wako unafanya kazi, na kiungo gani ukitomaswa au kulambwa unafika haraka.
Mwanamke kufika kileleni: Faham kwanza mwili wako
Kwahivo kabla hujajifunza kufika kilele mara 3 au 4, anza kwa kujua kipi kinakuamisha zaidi hisia kwa kupiga punyeto. Fanya majaribio kwa kusugua kisimi na kuona kama unafika kileleni haraka. Unatakiwa kumsoma mpenzi wako kujua jinsi gani umfikishe kileleni na kwa muda gani.
Faida za kufika kileleni kwa pamoja
Kufika kileleni pamoja inaweza kuwa tukio moja tamu na la kufurahia sana kwa wapenzi wote. Na ili kufanikisha hili ni lazima wote muwe mnawasiliana wakati wa tendo ili kujua kama mwenzako amekaribia au la. Unatakiwa kuongea na mpenzi wako kujua kipi kinaamsha hisia zake, kipi umfanyie wakati huo na kipi usifanye.
Mwanaume ahusike ili mwanamke kufika kileleni
Pia wewe kama mwanaume ili kufikisha mwanamke vizuri unatakiwa usiwe mbinasi, weka hisia za mwenzako mbele kuliko za kwako. Jishikilie kwana usimwage kabla mwanamke hajamwaga. Lazima mjuane vizuri kabla hamjafikia kwenye tendo la kufika kileleni pamoja
Kufika kileleni pamoja, inaongeza ile nguvu ya mahusiano na kufanya muwe imara na kupendana zaidi. Yani mahusiano yenu yatakuwa imara na haitakuwa rahisi kwenu kutengana.
Mbinu za kufika kileleni mara nyingi zaidi
Kuacha kumkamia mpenzi wako, kufurahia wakati uliopo na kuweka focus yako kwenye viungo vya kusisimuliwa. inasaidia sana kufika kileleni mara nyingi. Kuna njia zingine hapa chini za kumfanya mwanamke kufika kileleni mara nyingi.
- Ondoa wazo wa kutaka kufika kileleni mara nyingi kwenye akili yako: Kwa namna unavokamia zaidi kutaka ssana kumwaga maa nyingi ndipo unapokwama zaidi kufanikisha. Acha mwili wenyewe ujiendeshe mpakaufike kileleni mara 3 au 4. Badala yake focus kwenye kulifurahia tendo husika na mpenzi wako. Kwenye akili yako chukulia hili la kufika kilele mara 2 au 3 kama bonus ya tendo lenyewe.
- Jifunze kipi kinamfanya mpenzi wako ajisikie raha: Kufika kileleni mara nyingi ni zaidi kwenye kumzingatia mpenzi wake kuliko kujizingatia wewe. Hii itakufanya kuondoa ile presha ya ndani na hivo kukusaidia ufike kilele mara nyingi zaidi.
- Hakikisha mnaendana wakati wa tendo na mpenzi wako: Mawasiliano ni muhimu zaidi wakati mnaendelea na tendo. Kadri unavosikiliza mwili wa mpenzi wake ndivo ambavyo mtazidi kuendana na kufika kilele pamoja. Kama utahisi unakaribia kufika kilele na mpenzi wako bado sana basi punguza kasi, na focus kwenye kumsaidia mwenzako nae afike kilele. Muda huo sikilizia na upumuaji w ampenzi wako, hii itakwambia kiwango chake cha kusisimka.
- Tumia vilainishi pale inapobidi: Kilainishi kinaongeza msisimko kwa mwanamke hasa mwenye shida ya ukavu ukeni. Kilainishi kinaidia pia mwanamke atokwe na majimaji ukeni kwa kupunguza ukavu. Unaweza kutumia kilainishi kwenye kisimi tu ili ukisuue vizuri. Kilainishi pia kinaweza kutumia kwa kusugua mwanamke ndani kabisa ya uke na kumfanya afike kileleni kwa urahisi.
- Weka umakini kwenye kisimi: Kisimi ndio kiungo chenye msisimko mkubwa zaidi kwa mwanamke kuliko viungo vingine. Kwahivo aidha kwa kutumia ulimi au vidole hakikisha unaisimua kisimi mpaka mwanamke afike kileleni. Kama mwanamke ni mgumu kufika kileleni basi msugue kisimi kwa dakika 10 mpaka 15 kabla ya kuanza tendo lenyewe.
77 replies on “Mbinu 5 za Mwanamke kufika kileleni mara nyingi”
hapana
Hii kali
patam hapo
UMETISHA
Nipemependezwa na elimu hii na n tamu san
Hii ni hatari sana
Oky thank you doctor
Sawa bhn
je unajua madhara ya kulamba kisimu cha mwanamke?
Mh! Wew hatari
ahsante doctor
ASANT
Mh,apo ni denger
Kuna madhara kulamba kisimi¿
I have a left molar pains,get me medics assistance pls!
Mwanamke kulamba uume ni sehemu ya kuimxxmua mwanaume.
Hawa wanawake wa siku hiz kitandani gogo
Unaweza kuchezea kisimi dk 10 labda hujadundisha
I like the comment of other people¿
Noma sana mkuu ila ina madhara ukiramba
nakubl familiy tachukua ujuz huo lazma 2wakojoze nanina
UKUBW WA MASHIN
araa sawa sawa
Alaa hiyo ni noma
Asanteni kwa elimu yenu nimejifunza vema
haya mambo hayana fomula tufanye kaz
Oya wee! mumetixha xana kwa huhu ukuraxa wenu nawakubar xan enderehen ivy ivy nawakubar xana
Wew unajuw xan daktar
Hapo unyama xana watalam ngja 2kapeleke moto sasa
Sawa nimekuelewa dokta ila umetixha pia nmenukuu xan,ila kulamba kisimi huwa hata sitamani
Thanks doctor
Ushauri mzur doctor
Mmm! Me nimebalehe jana uxku
AHSANTE KWA USHAULI WAKO DOCTOR
UNYAMA MWING
Ahahahaha uyo kabalehe jana nan? Hla unyma sana doctor umetixha n mwendo wa mixhenyento
nakubali sana ngoja nianze sasa kushenyenda
ila doctor wewe hatali hiii nimeipata ngoja nikamuweke stayli ya mende alaf nitamsuguwa kisimi
Kweli jaman
Yan usugue kisim ndan
Ya dakka 10 we mwanaume…lakn nimeipenda shuklan xan
Doctor wew noma unatuelimixha vyakutosha dunia bla ngono haiend
Sytle zenywe n hodari
Nzul sana hongera
hongera sana nimeipenda hiyo
Hongera sana nimejifunza mengi hapa
Apo kweny kisim kipengere kulamba kw baadh y wat
mm n mwanachama mpya i like ths page
Jamani doctor ubarikiwe nimejifunza vema ningali bado bikra thank you very much mungu akuzidishie siku za kuishi
Thanks
Mmh! Haisee ngj xax hv tuwakojorexhe wanawake mana nimepata elimu nzur kwel
Nimependa sana namna mlivyo dadavua hili jambo
Daa
Watakubari 2
Oy noma sanA
sawa ngoja nijipigie zangu nyeto nilale sasa .
Nakukumbak sana doctor ahsate kwa elm ya tendo la ndoa
asante kwa ushauli wenu na nimbinu nzuri sana.
Nimependa hiyo leo atanikoma
nime ielewa sana staili ya kusugua G sport
Ngj 2one bx inawez kuw napang kumb mwezang simb wanachez
Aya
hahaha mambo ya kisim ewaaa
Aaaah Doctar Umetixha
Asante doctor elimu nzuri sana nitazidi kukufatilia nijue mengi zaid
MAISHA HAYO
but inaitaji uvumiliv kwenye kusugua kisimi na penis docter
oah noma
Umetisha dockit mitano tena
Dah! Hata mie nimeikubali hii naninazidi kuwakojolesha wanipate vizuri by festo fund nyumba
daaah? kumbe nilikuwa usingizin ngoja niamke
doctor umepiga km pacom ww ni gwiji
na ninyi wanaume hamjal hisia za wenza wenu is true
Kulamba kisimi kuna madhara
Asante kwa hayo
Asant xn doct kwa elim yak nimejifunza meng
Umetisha
Ninzuri xana