Categories
Tendo la ndoa

Mbinu 5 za Mwanamke kufika kileleni mara nyingi

mwanamke kufika kileleni

Japo kufika kileleni kwa wakati mmoja, kwa wote mwanamke na mwanaume ni ngumu lakini bado inawezekana kwa kuzingatia mbinu chache.

Kiujumla wanawake wanachukua mda mefu zaidi kufika kileleni kuliko wanaume, inaweza kuzudi hata dakika 15.

Kwanini wanawake wengi hawafiki kileleni??

Takwimu zinasema katika wanawake watatu basi mmoja wapo ni ngumu sana kumfikisha kileleni. Hii ni kwa sababu wanawake wanahitaji kusisimuliwa kwenye kisimi ili kumwaga. Na kisimi kipo eneo la juu ya uke, na wakati wa sex ni ngumu kwa mwanaume kusugua kisimi kwa uume.

Sababu ingine kwanini wanawake wanashindwa kufika kileleni ni sababu wanatakiwa kujua nini kinawafanya wasisimke na kufika kileleni. Unatakiwa kujua jinsi gani mwili wako unafanya kazi, na kiungo gani ukitomaswa au kulambwa unafika haraka.

Mwanamke kufika kileleni: Faham kwanza mwili wako

Kwahivo kabla hujajifunza kufika kilele mara 3 au 4, anza kwa kujua kipi kinakuamisha zaidi hisia kwa kupiga punyeto. Fanya majaribio kwa kusugua kisimi na kuona kama unafika kileleni haraka. Unatakiwa kumsoma mpenzi wako kujua jinsi gani umfikishe kileleni na kwa muda gani.

Faida za kufika kileleni kwa pamoja

Kufika kileleni pamoja inaweza kuwa tukio moja tamu na la kufurahia sana kwa wapenzi wote. Na ili kufanikisha hili ni lazima wote muwe mnawasiliana wakati wa tendo ili kujua kama mwenzako amekaribia au la. Unatakiwa kuongea na mpenzi wako kujua kipi kinaamsha hisia zake, kipi umfanyie wakati huo na kipi usifanye.

Mwanaume ahusike ili mwanamke kufika kileleni

Pia wewe kama mwanaume ili kufikisha mwanamke vizuri unatakiwa usiwe mbinasi, weka hisia za mwenzako mbele kuliko za kwako. Jishikilie kwana usimwage kabla mwanamke hajamwaga. Lazima mjuane vizuri kabla hamjafikia kwenye tendo la kufika kileleni pamoja

Kufika kileleni pamoja, inaongeza ile nguvu ya mahusiano na kufanya muwe imara na kupendana zaidi. Yani mahusiano yenu yatakuwa imara na haitakuwa rahisi kwenu kutengana.

Mbinu za kufika kileleni mara nyingi zaidi

Kuacha kumkamia mpenzi wako, kufurahia wakati uliopo na kuweka focus yako kwenye viungo vya kusisimuliwa. inasaidia sana kufika kileleni mara nyingi. Kuna njia zingine hapa chini za kumfanya mwanamke kufika kileleni mara nyingi.

  1. Ondoa wazo wa kutaka kufika kileleni mara nyingi kwenye akili yako: Kwa namna unavokamia zaidi kutaka ssana kumwaga maa nyingi ndipo unapokwama zaidi kufanikisha. Acha mwili wenyewe ujiendeshe mpakaufike kileleni mara 3 au 4. Badala yake focus kwenye kulifurahia tendo husika na mpenzi wako. Kwenye akili yako chukulia hili la kufika kilele mara 2 au 3 kama bonus ya tendo lenyewe.
  2. Jifunze kipi kinamfanya mpenzi wako ajisikie raha: Kufika kileleni mara nyingi ni zaidi kwenye kumzingatia mpenzi wake kuliko kujizingatia wewe. Hii itakufanya kuondoa ile presha ya ndani na hivo kukusaidia ufike kilele mara nyingi zaidi.
  3. Hakikisha mnaendana wakati wa tendo na mpenzi wako: Mawasiliano ni muhimu zaidi wakati mnaendelea na tendo. Kadri unavosikiliza mwili wa mpenzi wake ndivo ambavyo mtazidi kuendana na kufika kilele pamoja. Kama utahisi unakaribia kufika kilele na mpenzi wako bado sana basi punguza kasi, na focus kwenye kumsaidia mwenzako nae afike kilele. Muda huo sikilizia na upumuaji w ampenzi wako, hii itakwambia kiwango chake cha kusisimka.
  4. Tumia vilainishi pale inapobidi: Kilainishi kinaongeza msisimko kwa mwanamke hasa mwenye shida ya ukavu ukeni. Kilainishi kinaidia pia mwanamke atokwe na majimaji ukeni kwa kupunguza ukavu. Unaweza kutumia kilainishi kwenye kisimi tu ili ukisuue vizuri. Kilainishi pia kinaweza kutumia kwa kusugua mwanamke ndani kabisa ya uke na kumfanya afike kileleni kwa urahisi.
  5. Weka umakini kwenye kisimi: Kisimi ndio kiungo chenye msisimko mkubwa zaidi kwa mwanamke kuliko viungo vingine. Kwahivo aidha kwa kutumia ulimi au vidole hakikisha unaisimua kisimi mpaka mwanamke afike kileleni. Kama mwanamke ni mgumu kufika kileleni basi msugue kisimi kwa dakika 10 mpaka 15 kabla ya kuanza tendo lenyewe.

One reply on “Mbinu 5 za Mwanamke kufika kileleni mara nyingi”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *